(Mlima Kilimanjaro, kwa wachaga hiki nikithibitisho tosha kuwa uko nyumbani)
(Njia panda marangu mtoni. Wakwenda rombo, marangu, kilema mkyashi..hii ndio njia yetu mara nyingi. Hapa huwa wanakuwa na maindi ya kuchoma matamu kweli.)
(Mto marangu kama ukitokea soko la Kinyange)
(Home sweet home, Marangu)
No comments:
Post a Comment